Ninamjua by Emmanuel Mgogo, Sayuni Band


Song Lyrics


Ninamjua
by Emmanuel Mgogo, Sayuni Band

Album: Msikilize Mungu


Ninamjua,namjua,namjua bwana wangu.
Ninamjua,namjua mtetezi wangu. 2

Ametamalaki,tamalaki,mataifa yanatetemeka
Tamalaki,tamalaki,mataifa yanatetemeka,Oooooh,oooh.

Hata iweje,anidanganyi mtu kwa habari ya huyu mungu,eeeh mungu wangu ninamjua alivyo mungu,ninamjua aaaah,aaah 2

Najua ipo miungu,wanadamu wanaiamini.
Lakini sio kama mungu, eeeeh mungu wangu.
Yeye ni mungu wa kweli,yupo juu.
Ninamjua aaah,aaaaaah,aaaaah 2

Uwezo wake waajabu, nguvu zake za ajabu.
Wokovu wake waajabu aaah ajabu sana.
Vitu vyote ni mali yake yupo juu.
Ninamjua aaaaaah.

Ninamjua,namjua namjua bwana wangu.
Ninamjua,namjua mtetezi wangu. 2

Ametamalaki,tamalaki mataifa yanatetemeka.
Tamalaki,tamalaki mataifa yanatetemeka.ooooooh oooh.

Mitume wa zamani,na manabii walimjua mungu,mungu.
Waliitetea imani maana walimjua,awezaye kuokoa. 2

Eliah nabii,alimjua mungu akasema leo naijulikane mungu wangu na bahari nani ni mkuu,
Moto kutoka juu,ukashuka manabii wote wa bahari wakichinjwa ooooh ninamjua 2

Neno la mungu linasema hivi mjue sana mungu,ndipo neema na baraka zitakufuata, zitakuwa naweeeeh,eeeeh.

sitaogopa mabaya,sitakata tamaa maana ninamjua aliye mbele yangu,ni mwaminifu sana ni wa neema ninamjua aaaaaaah 2

Usitishwe na kelele za adui,mwamini mungu.
Yupooooh,yupo mungu,yupoooh ninamjua aaaah.
Amesema yeye,ameahidi hawezi kunyamaza,
Juu yako,mpaka haki yako ipatikane.
Mungu haogopi,mungu hatishiki,anatisha hajawahi kushindwa wanaoshindwa ni wanadamu sio mungu ninamjua aaah.

Ninamjua,namjua,namjua bwana wangu.
Ninamjua,namjua mtetezi wangu. 2

Ametamalaki,tamalaki,mataifa yanatetemeka.
Tamalaki,tamalaki mataifa yanatetemeka.


Related Video from YouTube



Song Ratings and Comments


rating 0.0 with 0 votes

0 favs

View My Favorites


no comments to show

Related Albums by Emmanuel Mgogo, Sayuni Band